Antony Diallo ateuliwa TFRA.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:- Amemteua Bw. Antony Diallo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA). Bw. Diallo anachukua nafasi ya Prof. Anthony Mshandete ambaye amemaliza muda wake.  Uteuzi huu umeanza tarehe 09 Februari, 2023. Amemteua Mkuu wa